Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba yake yeye ni mtoto wa 4 kutoka mwisho it's means wapo 5 kwa baba, ila kwa mama yake ni wa 3. Inamaana kwa mama yake wapo wengine 2 juu yake ambao ni wakiume.
Mimi hayo mengine wala sikujali nimecheka tu niliposoma "it is means!"
 
Kule Kilimanjaro %65 watu wamezaliana sema hutakaa ujue mpaka ukae na wazee.
 
Aliyeuelewa huo Uzi anieleweshe nimetoka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…