pharao
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 397
- 690
Habari wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu kwa kipindi kirefu kuniambia ila ameona bora aniambie tu! anadai tatizo limeanza yapata miaka miwili iliyopita.
Baada ya kuanza kuugua kifafa naombeni ushauri wazee nifanye nini ili aweze kuwa sawa.