Mdogo wangu kanifungukia kuwa hana nguvu za kiume! naomba ushauri

Mdogo wangu kanifungukia kuwa hana nguvu za kiume! naomba ushauri

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
397
Reaction score
690
Habari wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu kwa kipindi kirefu kuniambia ila ameona bora aniambie tu! anadai tatizo limeanza yapata miaka miwili iliyopita.

Baada ya kuanza kuugua kifafa naombeni ushauri wazee nifanye nini ili aweze kuwa sawa.
 
mpe pole...na jinsi wanaume mnavyoona hilo tendo ndo.kipaumbele!sipatii picha alivyo na stress..kama anasoma bora ungemwacha kwanza asome amalizee maana itakua MANDELA (uhuru)
 
Pole kwake, mpeleke kwa wataalam, kama anatatizo moja kati ya haya basi aanze kwa kulishughulikia
High blood pressure
Heartbun,
Anxiety,
Depression,
Diabetes,
Allergies,
Heart diseases,
Over weight na
dawa alizotumia hapo nyuma.

Japo ungesema ni kukosa nguvu kupi? Maana kupo kwa aina nying, hzo njia nilizotaja hapo juu ni zile ambazo zinaleta tatzo la Electile Dysfunction "ED" ambapo hupelekea pressure ndogo ya damu kwenye mishipa ya penis au ana concerning nerves problems.

Kama tatzo n kukosa hamu basi hapo n kucheza na testosterone tuu, i mean kuongeza level ya testosterone through some foods, exercise and medications.
 
Yaaani konki haisimami kabisaa au anawahi kutoa manii?
Hebu specify ili watu wajue namna ya kumshauri
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, Leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu kwa kipindi kirefu kuniambia ila ameona bora aniambie tu! anadai tatizo limeanza yapata miaka miwili iliyopita. Baada ya kuanza kuugua kifafa. Naombeni ushauri wazee nifanye nini ili aweze kuwa sawa.
Kwani kifafa amepona?au bado anaendelea na matibabu?Ni vema tuanzie hapo mkuu
 
Pole kwake, mpeleke kwa wataalam, kama anatatizo moja kati ya haya basi aanze kwa kulishughulikia
High blood pressure
Heartbun,
Anxiety,
Depression,
Diabetes,
Allergies,
Heart diseases,
Over weight na
dawa alizotumia hapo nyuma.

Japo ungesema ni kukosa nguvu kupi? Maana kupo kwa aina nying, hzo njia nilizotaja hapo juu ni zile ambazo zinaleta tatzo la Electile Dysfunction "ED" ambapo hupelekea pressure ndogo ya damu kwenye mishipa ya penis au ana concerning nerves problems. Kama tatzo n kukosa hamu basi hapo n kucheza na testosterone tuu, i mean kuongeza level ya testosterone through some foods, exercise and medications.
Hiyo orodha ungeiweka kwa lugha yetu adhiim ingependeza zaidi mkuu
 
Inaelekea ndugu yako kaanza mapema haya mambo, kitu kingine kilicho muathiri huo umri aliokuwa nao na kufahamu nguvu za Kiume. Mwambie aache kuperuzi kwenye mitandao kufuatilia mambo ya mapenzi na nguvu za Kiume.

Huo umri wake ni wa shule. Anataka kulazimisha kupiga bao 10 wakati umri wake unaruhusu bao 1,2 kwa nini asihisi kuwa hana ukosefu wa Nguvu za Kiume.

Ebu kaa naye muulize akupe sababu zinazofanya anajihisi hana nguvu za Kiume.
 
pole sna, nguvu za kiume kukosekana kutokana na tatizo lolote lile kama magonjwa ni hali ya kawaida ambayo hutibika, usiwe na shaka mdirect aende hospital
 
Hicho kifafa kimesababisha awe na stress kwa kuifikiria hal aliyonayo hivyo kusababisha shida hiyo
 
daaaah, ana miaka 18 na tatizo limeanza miaka 2 iliyopita ina maana miaka 16 tayari kaijua papuchi? mimi nilianza kuiona papuchi live kabisa miaka 26
 
Hivi kukosa nguvu za kiume inakiwaje maana nahisi kama na mimisina nilimpigaa baadae akasonyaa then akainuka tena hii unaweza kuwa tatizo
 
Mkuu walio wengi wakiwa na kifafa hupata hiyo hali kwasababu dawa wanazo TUMIA huwafanya viungo ku relax.pia ikiwa atakuwa na nguvu muda wote ikitokea Bahati mbaya yupo uwanjani na kikamtokea Uwezekano kupona Ni mdogo kwakua huziba pumzi yaani hupumua kwa tabu Sana
 
Back
Top Bottom