Kwani kifafa amepona?au bado anaendelea na matibabu?Ni vema tuanzie hapo mkuuHabari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, Leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu kwa kipindi kirefu kuniambia ila ameona bora aniambie tu! anadai tatizo limeanza yapata miaka miwili iliyopita. Baada ya kuanza kuugua kifafa. Naombeni ushauri wazee nifanye nini ili aweze kuwa sawa.
Hiyo orodha ungeiweka kwa lugha yetu adhiim ingependeza zaidi mkuuPole kwake, mpeleke kwa wataalam, kama anatatizo moja kati ya haya basi aanze kwa kulishughulikia
High blood pressure
Heartbun,
Anxiety,
Depression,
Diabetes,
Allergies,
Heart diseases,
Over weight na
dawa alizotumia hapo nyuma.
Japo ungesema ni kukosa nguvu kupi? Maana kupo kwa aina nying, hzo njia nilizotaja hapo juu ni zile ambazo zinaleta tatzo la Electile Dysfunction "ED" ambapo hupelekea pressure ndogo ya damu kwenye mishipa ya penis au ana concerning nerves problems. Kama tatzo n kukosa hamu basi hapo n kucheza na testosterone tuu, i mean kuongeza level ya testosterone through some foods, exercise and medications.
Mimi mpaka leo sijawahi kuiona live naonaga kwenye picha tu na video.daaaah, ana miaka 18 na tatizo limeanza miaka 2 iliyopita ina maana miaka 16 tayari kaijua papuchi? mimi nilianza kuiona papuchi live kabisa miaka 26
hahahahaaa, udomo zege sio?Mimi mpaka leo sijawahi kuiona live naonaga kwenye picha tu na video.
Khaaaa! NAHUJAPole. Kwa hiyo ukoo wenu mna kifafa?