Mdogo wangu Mchezaji Balama Mapinduzi nani alikudanganya kuwa Klabu ya Yanga inajua Kujali na Kulipa Fadhila?

Tshishimbi alipata jeraha akiwa sebleni mpaka alipoenda kwao mambo yakawa safi ni ukweli yanga kuna vipapai sio yanga tu timu nyingi za tz
Hivi kuna Watu wachawi kama Waghana? Asante Kwasi alianza kwa Mohammed Hussein ila Tshabalala alipoenda Kwao Tanga Kwasi alijuta kabisa.
 
Acha ushamba wewe kenge,mambo ya Yanga wewe yanakuhusu nini,, muulize Juma mahadhi alitibiwa matibabu yote na Yanga leo unaongea ujinga kwa Balama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…