mdogo wangu ni pasua kichwa

mdogo wangu ni pasua kichwa

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
eti amerudia analalamika eti mwalimu kamkosesha..wakati anajua kapata..ikabidi nimwambie anionyeshe ni wapi amekoseshwa..akanionyesha..
ilikuwa ni methali inasema simba akizidiwa...dogo akawa amejibu 'hung'oa viti'
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo muelewa sana huyo ebu muangalie kwa ukaribu
 
eti amerudia analalamika eti mwalimu kamkosesha..wakati anajua kapata..ikabidi nimwambie anionyeshe ni wapi amekoseshwa..akanionyesha..
ilikuwa ni methali inasema simba akizidiwa...dogo akawa amejibu 'hung'oa viti'
1475667622621.jpg
 
Back
Top Bottom