Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Usikariri malezi jombaa. Naona una muda mwingi wa kuandika matope.

Tema mate chini mkuu!!!

Anyways, umenikumbusha maneno ya mjumbe wa nyumba kumi mtaani kwetu miaka ya 2003. Alikuwaga anasema maneno kama yako mkuu by that time mabinti zake walikuwa hawajabalehe. Zilikuwa zikipelekwa kesi za mimba za watoto wa miaka 14 akawa anauliza hivi nyie watoto wenu mnawalea vipi INAKUWAJE mtoto anapata mimba ana miaka 14. Watoto wake walipo vunja ungo... hukuwepo lakini najua unajua ninataka kusema nini.
 
Tena kwenye upande huo wa siasa, mbaya sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikubishii bro upo sawa....nimeliona hilo juzi tu kwa mdogo wangu wa kike, sasa hivi ni maji na moto na baba yake wakati hapo nyuma ilikuwa ni pete na kidole....kuna kisa ningekiweka hapa lakini nahofia humu kuna watu wataunganisha dots na mwisho wa siku watanifahamu
 
Inategemea na malezi ngono ni starehe inayomsumbua masikini kwasababu anakuwa Hana Adventure za kuijenga akili ,mwili na roho.

Nijuavyo mimi, kupenda ngono ni attribute inayo kuwa detected by nature.

Sheta yupo sahihi Sana anajitambua .
How?

Personally nimeshuhudia watoto wengi wa kike wakitoboa hadi chuo wakiwa wapo vizuri ,mentality ,spiritual , and physically.

Uongo. Unless otherwise mention them so that we know that ur talking about ghosts.
Negativity is going to sink in ur Family if you will keep it on ur mind.

nothing negativity about my thread.
 
Japo bandiko lako unataman Qayla aishie vbaya lakini Sioni sababu ya kumfanya shetta ashndwe kuwa baba Bora et kisa Kuna ma Binti wengne wamekengeuka, Kila mtu alee mtoto Ake Kwa nafasi yake na position yake mtoto akikengeuka baadae Hilo ni jukumu lake binafsi lakn baba atakuwa aliupga mwngi, namaanisha wengne kufanya vibaya isiwe Sababu ya ww kutofanya majukumu Yako ipasavyo.

#ACHA ROHO MBAYA KAMA WATOTO WAKO NI MALAYA MUNGU AENDELEE KUWABARIKI NA UMALAYA WAO, SIO KUWAOMBEA NA WA WENZAKO ILI MLINGANE
 
Kiweke tu mkuu watu wajifunze.
 
Weka tujifunze,maana hawa madogo wa 2002+ wamechachuka hatari.
 
Alirudi kwa Mungu lini?
Zandaani zinasema CHUMA kilikua kinajipoza pale ndomaana akapenyezewa kanafasi kwenye Siasa..Na bado ni mdangaji sema tu anavaa mavazi ya Heshima ila kuanzia yule DED aliefukuzwa na CHUMA chanzo kilikua kujipoza kwa mali ya CHUMA

Kwasasa anamtoto wa BROCK_PRICE ambae wanasema walisoma wote primary na blaablaa nyingi ila kifupi Jasiri haachi asili
 
Wengi wanao kupinga au kukukashifu ni aidha hawana watoto au hawapo kwenye malezi ya baba na mtoto.
Kumlea mtoto wa kike kwa upendo ni mateso mno,unaweka matarajio mengi juu yake lakini kadiri aongezekapo umbile "mi-Hamas" inakuwa standby kwa ajili ya kufanya uharibifu bila kujali umri.
 
Inaonekana mtoto wako kakupiga tukio kubwa sana kwahio unahisi wote watakua hvo, shetta kajitahd san kashamtengezea mwanae future kwenye siasa, yaan akifika 18 anaweza akapewa hata viti maalum.. pamban na mwanao mlee huyo mjukuu hapo
 
Malezi na ndoa/mahusiano ni kama soka tu. Mwingine 442 mwingine 532 mwingine 91 mwingine 433.....so utaamua mwenyewe kwa jinsi challenges zinavyokuja
 
Naunga mkono hoja,acheze Kwa makini.Akishaanza kuwajua wanaume na kupewa fix na mama yake umekwisha.

Invest kwake ila Kwa tahadhari Sasa ajidanganye kwamba huyo ni Alfa na omega kwenye uzee wake.Wanawake ni patapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…