Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Mungu zaidi
 
Kiukweli I don't understand your points here, Kwa hiyo nyie mlitaka kama mzazi asimpe support mtoto wake, ambaye ameonyesha kupenda siasa? Nimeona clip ya huyo mtoto na pia clip ya mtoto wa waziri vibubu na mafwedhaa kiukweli huyo mtoto wa kike is best of the best, huyo mwingine wanamlazimisha tuu but hana uwezo kabisa, hata kujieleza bado sanaaa. So huyo Sheta ni wajibu wake kama mzazi kumpa support mtoto wake to the maximum. Habari za kuanza kumuwazia mabaya tuachane nazo na hopefully baba yake atakuwa ampa A, B,C na jinsi ya kukabiliana na hayo mambo.
 
Umeaongea ukweli mchungu ambao wazazi wengi hatuwezi kukubaliana na wewe laikini ndio uhalisia so tegemea wengi kuona kama umeandika pumba.
 
Ahsante,chanzo Cha utafiti!
 
Umeaongea ukweli mchungu ambao wazazi wengi hatuwezi kukubaliana na wewe laikini ndio uhalisia so tegemea wengi kuona kama umeandika pumba.
Na Mimi nalijua hilo mkuu ndio maana hata siwashangai wanao pingana na bandiko langu
 
Nijuavyo mimi, kupenda ngono ni attribute inayo kuwa detected by nature.


How?



Uongo. Unless otherwise mention them so that we know that ur talking about ghosts.


nothing negativity about my thread.
Kubali tuu kwamba wazazi kwenye malezi wanatofautiana na kwamba hicho unachokisema siyo rule of thumb, wengi tuu wamefanikiwa kwenye makuzi ya mabinti zao.
 

Hujaelewa mada mkuu hatuzungumzii kuhusu mtoto wa Shetta. Tunazungumza namna balehe inavyo weza kumfanya mtoto wa kike kubadilisha mfumo wake wa maisha juu chini na kutoka nje ya road map ambayo baba ake mzazi anakuwa amemchorea.

Usiutazame Uzi huu katika taswira ya Shetta na mtoto wake, utazame katika taswira ya wewe na mtoto wako
 
🤣
Umeona uongee ukweli mgumu.
Kuna mzee mmoja aliwapenda mno mabinti zake. Mabinti wakakua na wakaanza kuongezeka umbile, hasahasa Mi-hips na Mi-shepu. Walichofanya "Mi-hamas" nashindwa kuandika humu. Mtajiongeza wenyewe.........

Malezi kwa sasa ni magumu mno.
 
Ugonjwa mpya huu unao wasumbua waafrika wanao iga uzungu. " Mind ur own business" is a very selfish thing and it is a European thing which has nothing to do with us Africans

In a history of not letting others to live their life, nobody has have been successful.

Go ahead to not let others live their life. The ball is on your court.

Is it selfishness? the ball on your court once again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…