Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Una wazo zuri, tatizo ni umegeneralize kana kwamba watoto wote wa kike wanafolloe kwenye hiyo pattern, ilhali sio inategemea na mapepe yake hiyo bintiye

As a matter of fact, we mwenyewe ulimpata ukiwa na miaka 16 we ulitaraji ataanza kuzagamuana lini wakati mtoto wa nyoka ni nyoka na hajawahi kuwa kobe asilani?
 
Tafuta hela
 
We ni sawa tu na wachawi wengine, umemwonea gere mtoto wa mwenzio umeshaanza kumwazia mabaya. Mwanaume mzima na mapumbu unaandikaje upupu km huu? Ushindwe na ulegee.
 
Me naona hapo tatizo sio binti yako tatizo ni wewe
 
Vunja bei ndo anaipiga
 
Huyo ndo binti alipewa gari siku ya birthday yake na Shetta?
 
hatari aliyo nayo zaidi huyu mtoto ni kupata umaarufu mapema.

miaka 4 ijayo atakuwa kwenye vita kali sana na mafisi(rejeeni ya lulu)kisha watoto wenzie ambao ndio mletamada amewarenga zaidi.

maumivu na jeraha analopata baba kwa binti yake,sababu ni wivu wa asili kutokana na mapenzi aliyo nayo kwa binti yake,ni kama usaliti ndani ya mipango yake lakin bila kujua kuna hitaji ambalo yeye kama baba asingeweza kulitimiza hata iweje(kipngere cha mahusiani).

lucky dube ameimba-good girl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…