Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Inaonekana kama unaelezea changamoto na mabadiliko katika uhusiano na binti yake atakapofikia umri wa kubaleghe. Ni kawaida kwa watoto kukua na kuanza kujenga uhusiano tofauti na wazazi wao wanapokua. Ni muhimu kudumisha mawasiliano wazi na kujaribu kuelewa hisia na mabadiliko wanayopitia. Kuwa baba mwenye ufahamu wa hisia za binti yako na kuheshimu mabadiliko yake kunaweza kusaidia kudumisha uhusiano mzuri
 
Kazi kuu ya baba ni provision, protection and disciplining
 
So unataka tuwachukuliaje mabinti zetu,tuishi nao kama criminals au,hacha hayo mazee.Nani kakuambia mtoto wa kiume hawezi kukudissapoint
 
Some nikkas need a head shoot some nikkas need two.
 
Mnaandika tu maneno mengi hata picha yenyewe ya binti aliyemkurupua mleta mada mpaka akapandisha uzi humu hamuiweki Ebo!
 


You were a very weak father, tumekuwa na watoto wa kika pia na wameenda vizuri, Mume na mke wakishirikiana vyema na kuomba Mungu binti can turn out to be okay.

Sio watoto wote wakike wakivunja ungo huwa wajeuri, mimi nakataa kabisa, maana nimekuwa na watoto wananisikiliza mpaka Dakika ya mwisho.
 
Wivu ni aina ya uchawi pia,,,
 
Wewe ulipata malipo ya uliyowafanyia mabinti za watu enzi za ujana wako.
 
Toka hapa na roho yako ya kichawi.....
Kama wa kwako alikushinda ni wako, more likely karithi kwenye ukoo wake
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
Kulea watoto wa kike ni kazi sana lo
Kale kengine Leo tena mashikolo mengine!

Nahapa hakajavunja ungoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
 
NACHEKA KWA DHARAU KAMA BABA ULIKUWA UNAKULA KIMASIHARA USITEGEMEE MWANAO AJE KUWA MTOTO BORA .NI LAZIMA NA YEYE ATALIWA KIMASIHARA TENA BUREEEEEE


VIJANA WA HOVYE ENDELEENI KUFANYA UFUSKA LAZIMA MTAKUJA KULIPIA UFUSKA WENU.
 
 
 
Huo
niuchawi wenye kiwango chalami
 
Huu uzi unachoma kama kisindano cha nyuki, kwa wale waliowahi kung"atwa na nyuki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…