Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Kwema wakuu,

Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko.

Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
 
Mambo gani unahisi yataendelea?
Acheni upotovu
Watu wanamuabudu Mungu,nothing more.

Ni kusifu,kuabudu,kusikiza Neno
Maombi, Mida ya saa9 Kunakuwa na chai
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha ch
 
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Kkathibitishe
Huenda yuko kwa Pastor
 
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Hakunaga mkesha jumanne mikesha ya kilokole ni ijumaa..
Sahivi anaukatikia kwa wahuni huko..!
 
Mkuu mwache bhana aende kwa bwana wake yesu "nimeokoka nampenda yesu" mdogo wako hajawahi kuambia hii kauli?
 
Chapa makofi matano mazito mazito mashavuni akili zimkae sawa,

Kwani unaishi kwako au mnaishi kwenu wote wewe na mdogo wako?

Kama mnaishi kwako na mdogo wako kwanini aonde bila ruhusa yako tena usiku?

Kama mnaishi kwenu na kawaaga wazazi wako wamemruhusu achana nae akakeshe,
 
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
ni sawa muulize tu
 
Hapo unatakiwa ukamtembezee kichapo mchungaji mbele ya kanisa ili iwe funzo kwa waumini wake
 
kaenda liwa kimasihara alafu buree kbs..

Kesho uachee Hela ya sabun yakufua Pichu ya dogo iliyobeba gejee za msela zinakuja kufuliwa kwakoo...

Ni huzuniii
 
Back
Top Bottom