Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hutaki dada ako afaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameoteshwa na roho mtakatifu.Subiri upate shemeji kutoka pande hizo anajiita "mpendwa"!Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
sisi wenzako huwa tunawaruhusu wake zetu wanaenda kwenye mkesha, wakati mwingine tunaambatana nao pia. kule ni kusifu, kuabudu na maombi tu na inasaidia sana kiroho. wanadamu wengi wanadharau mambo ya kiroho, kumwabudu na kumtafuta Mungu bila kujua yeye Mungu ndiye chanzo cha uhai wetu, siku ukija kubanwa kwenye mlango na magonjwa na matatizo rundo utatafuta hiyo nafasi hata uende mkesha siku moja tu hautaipata. wacheni wanaomtafuta Mungu wamtafute, msifanyike kauzibe, msije kushindana na kusudi la Mungu maishani mwao.Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
shetani anawafanya muuogope wokovu hata kwa mambo ya uongo.Hao wachungaji wa kilokole vitombi sana, wanakula wake za watu sana hao.
Wazinzi tupu, mi ninawafahamu, hao walokole na mikesha yao wanaongoza kubanjua amri ya sita.
Mara huyu demu wake ni yule muimba kwaya, mara huyu demu wa mchungaji, yule mtu wake mzee wa kanisa, wachafu tu hamna lolote.
Kuwa makini na umkanye.
Shetani we ulishamuona? Mnafanya upuuzi unasingizia shetani.shetani anawafanya muuogope wokovu hata kwa mambo ya uongo.
Kuna pastor enzi za JK nilikuwa nakutana nae sana boda na Airport nikaja kugundua anafanya mambo ya hovyo mno. Lile kanisa ni zuga tu ila biashara yake ilikuwa haramu. Hawa wachungaji na manabii wana uchafu mwingi mno.Kuna pastor mmoja mlokole, niliitwa kuamua ugomvi mkewe kamkuta ofisini kamvua nguo mke watu kifua kipo wazi, tena kwenye ofisi ya kanisa.
Sio mchezo, na ukikuta anaombea watu unakataa.
Wahuni wale, lakini huwaelezi kitu waumini wao.Kuna pastor enzi za JK nilikuwa nakutana nae sana boda na Airport nikaja kugundua anafanya mambo ya hovyo mno. Lile kanisa ni zuga tu ila biashara yake ilikuwa haramu. Hawa wachungaji na manabii wana uchafu mwingi mno.
yesu = huyo jamaa yakeMkuu mwache bhana aende kwa bwana wake yesu "nimeokoka nampenda yesu" mdogo wako hajawahi kuambia hii kauli