VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha ch
KkathibitisheKwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Acha ujinga wewe. Hiyo mikesha ni upumbavu mtupu. Ila kama atapata mume huko fresh tu ili mradi wafuate utaratibu na kuoana.Mambo gani unahisi yataendelea?
Acheni upotovu
Watu wanamuabudu Mungu,nothing more.
Ni kusifu,kuabudu,kusikiza Neno
Maombi, Mida ya saa9 Kunakuwa na chai
Hakunaga mkesha jumanne mikesha ya kilokole ni ijumaa..Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
ni sawa muulize tuKwema wakuu, kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo angu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadan ni sawa lakin nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.