Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Sasa kama wewe ni lawyer utafanyanini? Huna la kufanya. Punguza wivu kwa dadaako, au unamtamani?
 
Hivi hii nayo inaruhusiwa?
 
Leta mrejesho toka 2014 bila shaka alishagegedwa na kuzalishwa huyo.
 
Hivi hii nayo inaruhusiwa
 
Nyie wanasheria mna matatizo Gani? Unaleta SHERIA hadi kwenye mahusiano?? Unconditional love may fail but love with conditions doesn't even have a chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…