Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,351
Reaction score
7,639
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C
 
pole, badala ya kumfunda dada unaye mjua vema kuhusiana na kupenda kwake, unatoa vitisho kwa mtu usiye mjua kabisa.
 
Hahaa!! Hiyo ni biashara matangazo tu hakuna jipya hapo.
 
pole, badala ya kumfunda dada unaye mjua vema kuhusiana na kupenda kwake, unatoa vitisho kwa mtu usiye mjua kabisa.

Dogo nimeshampa vyake mkuu.

Na sasa ni zamu ya huyu bwana, halafu sio kwamba simfahamu, nina business card yake hapa.
 
Usinitishe wewe, huyo mdogo wako sio minor na ndio maana unataka taratibu zifuatwe, angekuwa minor hata hizo taratibu unazotaka zifuatwe zisingesaidia, sasa unanitisha eti wewe ni lawyer!! Ahaa ahaa utaniwajibisha kwa sheria ipi wakati mdogo wako ana miaka 20 sasa. Tatizo lako una wivu kwa dada yako, kama kumgegeda nishamgegeda nadhan hilo hajakwambia..acha wivu wewe..
 
Back
Top Bottom