Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.
Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.
Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.
Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
alitumia ujana wake vibaya vipi kama ulizaliwa wewe usiekua na nidhamu kuwambi kiburudisho cha mamako kua alitumia ujana vibayaMzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.
Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.
Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.
Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
aliyekwambia kwamba baba yake alitumia ujana wake vibaya ni nani?
When you talk and walk like a duck, nani anaweza kusema you are not one?
Hovvyo kabisa.
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.
MDOGO WANGU ANAKUJA HOME KUTOKA UDSM, kisa amekosa mkopo. Anasoma BA.Statistics. Mi mwenyewe na babayangu ( HAKI YA MUNGU) ni wakulima. Halafu hata nauli ya kuja home hatujapata! Wee acha tu, sababu hujui inavyo uma. Hivi tunaweza kuruusiwa kumwona RAIS? Dogo ni 1st yr UDSM.
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.
Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.
Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.
Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
Hili lijitu linalojiita mzee sijui huwa linagongwa na majambazi au vp?yan lenyewe tangu lijiunge na jf ni mwendo wa pumba tu..
Mkuu umekosea na si vyema ukaendelea kujitapa ati ukweli unauma....Unamjua baba yake mpaka um judge ivo?...there are a lot of things happening in this world...imagine mzee wako labda angeumwa,angefukuzwa kazi au angefilisika kiasi kwamba asingekua na uwezo wa kukusomesha.....WOULD YOU HAVE THE GUTS KUONGEA IVO?...MAN UP DAWG!