Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu,tafuten alternative nyngne ya kumsave dogo.
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.
Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.
Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.
Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
Dah! Too sad. Hapo home hakuna walau ng'ombe mkauza akasoma huyo kijana?
Halafu ndo unakuta kijana kama huyo anapost tu humu na simu yake ya kichina eti ooh kuna demu ananizingua! Unaweza finya maskio!