Mdogo wangu.!

hivi kulipia private pale UDSM ina gharimu kiasi gani kwa mwaka ktk ENGINEERING? Manake wazazi wangu wanataka wanisomeshe private ili nisikatwe mshahara badae ntakapoingia kazini.
 
Pole sana mkuu,tafuten alternative nyngne ya kumsave dogo.

hivi kulipia private pale UDSM ina gharimu kiasi gani kwa mwaka ktk ENGINEERING? Manake wazazi wangu wanataka wanisomeshe private ili nisikatwe mshahara badae ntakapoingia kazini.
 
we jamaa kwa pumba haushikiki!
 
Dah! Too sad. Hapo home hakuna walau ng'ombe mkauza akasoma huyo kijana?
Halafu ndo unakuta kijana kama huyo anapost tu humu na simu yake ya kichina eti ooh kuna demu ananizingua! Unaweza finya maskio!

Teh teh teh hii imenigusa naomba kudeclare interest!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…