Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na gubu, harufu ni masaa 24Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
😆😅😄😃😂😁😀Ukiwa na gubu, harufu ni masaa 24
Kweli mkuu [emoji28][emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Bacteria wanapokula mabaki uliyoacha kwenye meno na ulimu wanatoa uchafu ndio unaonuka(sulfur). Pia hiyo harufu inawasaida kupunguza ushindani wa chakula kutoka kwa strain nyingine za bacteria. Mfano rahisi kuna watu wakati wa kula kwa jumuia wanajamba iliwengine waondoke wabaki pekeyao wajilie ubwabwa wote.Kinachosababisha mdomo kutoa harufu ni mabaki ya vyakula na pombe kwenye ulimi. Sugua ulimi vizuri kabla ya kulala
Aache Gubu Aepuke Kunuka Mdomo Haraka 😁😀Kweli mkuu [emoji28]
Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
Kinachosababisha mdomo kutoa harufu ni mabaki ya vyakula na pombe kwenye ulimi. Sugua ulimi vizuri kabla ya kulala
Kweli mimi ni Zakayo, Je niache kazi au nitumie user name yako? Maana hata wale wadada poa wa buku 2 wananikimbia.Kama wewe ni TRA na unakusanya kodi kwa nguvu lazima mdomo unuke masaa 24
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti!Bacteria wanapokula mabaki uliyoacha kwenye meno na ulimu wanatoa uchafu ndio unaonuka(sulfur). Pia hiyo harufu inawasaida kupunguza ushindani wa chakula kutoka kwa strain nyingine za bacteria. Mfano rahisi kuna watu wakati wa kula kwa jumuia wanajamba iliwengine waondoke wabaki pekeyao wajilie ubwabwa wote.