Dah! Hivi mtu mdomo unavyonuka mwenyewe unakuwa husikii au!?
Yan asubuh mida ya saa 3 nmepanda mwendokasi nmekaa na mtu mdomo kapuyaaaaa!! Af ye hana habari anaongea na simu tu tena kwa saut ya juu!!. Nilikua nna zile big g za mint mfukon nikampa moja lakini nahisi kama haelewa ile gesture ya kupewa big g ale..
Kuna watu wananuka midomo jaman.. halafu watu wa hivi wanapenda romance anakulambaa. Mi huwa nawaulizaga na kuwaambia kama mtu akinuka mdomo.. sema leo nmeamka na moods zangu tu..