Mdomo unanuka!!

Mdomo unanuka!!

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Dah! Hivi mtu mdomo unavyonuka mwenyewe unakuwa husikii au!?

Yan asubuh mida ya saa 3 nmepanda mwendokasi nmekaa na mtu mdomo kapuyaaaaa!! Af ye hana habari anaongea na simu tu tena kwa saut ya juu!!. Nilikua nna zile big g za mint mfukon nikampa moja lakini nahisi kama haelewa ile gesture ya kupewa big g ale..

Kuna watu wananuka midomo jaman.. halafu watu wa hivi wanapenda romance anakulambaa. Mi huwa nawaulizaga na kuwaambia kama mtu akinuka mdomo.. sema leo nmeamka na moods zangu tu..
 
Hapigi mswaki ni vyema ungeshuka nae kituo kimoja ukamnunulia mswaki wa jero na na ile dawa ndogo na vimani vya mia tano akaanza kupiga hapo hapo.

Next time anajifunza na kukumbuka kutoka huku kapiga mswaki.
 
It is natural to some .usiwanyanyapae. Mwingine hata upige mswaki vp lazima mdomo utanuka baada ya dakika kadhaa.
 
Back
Top Bottom