Mdude analalamikia makundi CHADEMA

Mdude analalamikia makundi CHADEMA

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".

Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.

Ujumbe huu kupitia X yake.

Mdude.png

USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
 
Ww si ulipgwa ban ya maisha, umefufuka ama ni mzimu wa malaria?
 
By by
Tulikuwa tunamwambia hapa, ww ni kafara tu la kufungua domo zege. Hakutusikia.
 
Mfano CDM ikashinda uchaguzi mkuu Mdude anapewa labda cheo gani?

CDM inazoa kila mpiga kelele matokeo yake ndio hayo kuchapwa virungu kila mahali..

Sasa anataka kuzuia wengine kutoa maoni?

Si anakumbushwa ahadi za mwanamageuzi...
 
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".

Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.

Ujumbe huu kupitia X yake.

USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Wewe kibwengo toka uchaguzi wa Chadema uishe ndiyo leo unsoneka usiyemtaka ndiye mwenyekiti sasa
 
Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 3
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".

Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.

Ujumbe huu kupitia X yake.

USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Wewe jamaa tumekuchoka Bado hujapoma TU 🦟 🦟
Kila saa chadema ivi Mara chadema vile Kama Lucas mwashambwa 😀😀
 
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".

Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.

Ujumbe huu kupitia X yake.

USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani

Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele

Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele

Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi

Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu

Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP

NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu

Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
 
Mdude ni nani huko chadema anaelalamika!
 
Mfano CDM ikashinda uchaguzi mkuu Mdude anapewa labda cheo gani?

CDM inazoa kila mpiga kelele matokeo yake ndio hayo kuchapwa virungu kila mahali..

Sasa anataka kuzuia wengine kutoa maoni?

Si anakumbushwa ahadi za mwanamageuzi...
Kama Chalamila ni mkuu wa mkoa basi hata kichaa anayemiliki jalala anaweza kuwa kiongozi nchi hii.
 
Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani

Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele

Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele

Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi

Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu

Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP

NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu

Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Bangi zako zinakufanya umuone Lissu mbaya, hujakuja na ushahidi au mfano wowote wa chochote kusimamisha hoja yako zaidi ya maneno ya kibangibangi.
 
Utakuwa na matatizo ya akili makubwa kuliko unavyofikiria, hebu tuonyeshe Jinsi walivyoingia kwa upanga, au ulitaka uchaguzi kama wa babu kule Chimwaga ambapo mmoja anaingia kama mchawi wa kizungu na kumtoa sungura kwenye kofia?

Watu wamenyukana kwa hoja na kejeli lakini mwisho wa siku kura zimepigwa kwa wazi na mshindi kapatikana. Wewe unaumia nini shekhe?
 
Mfano CDM ikashinda uchaguzi mkuu Mdude anapewa labda cheo gani?

CDM inazoa kila mpiga kelele matokeo yake ndio hayo kuchapwa virungu kila mahali..

Sasa anataka kuzuia wengine kutoa maoni?

Si anakumbushwa ahadi za mwanamageuzi...
mdude atagombea ubunge jimbo gani?
 
Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani

Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele

Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele

Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi

Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu

Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP

NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu

Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Mawazo yako kama yangu, hajui nafasi aliyonayo anahitajika kuunganisha watu, sijamuona akifanya hivyo. Maneno yake ya uanaharakati bado anayo.

Binafsi nilisema tu Lissu kama mwenyekiti hafai hata kidogo kuongoza cdm, Mbowe alishachoka ila Lissu hafai.
 
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".

Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.

Ujumbe huu kupitia X yake.

USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
 
Attachments

  • IMG_1363.jpeg
    IMG_1363.jpeg
    99 KB · Views: 4
Back
Top Bottom