Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibao…..Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani
Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele
Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele
Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi
Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu
Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP
NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu
Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??