General hauziki. Akifanya matani Mbowe tutamfata kwake kwa maandamano. Tunae mwenyekiti wa Bavicha hataki masihara. Haogopi polisi wala niniWawe makini na mbowe atawauza 😀
Lissu kaniombea, si amesema anatibu majeraha? Mbaya wake yeye Mbowe sio sisiWw si ulipgwa ban ya maisha, umefufuka ama ni mzimu wa malaria?
Wewe kibwengo toka uchaguzi wa Chadema uishe ndiyo leo unsoneka usiyemtaka ndiye mwenyekiti sasaUkipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.
Ujumbe huu kupitia X yake.
USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Wewe jamaa tumekuchoka Bado hujapoma TU 🦟 🦟Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.
Ujumbe huu kupitia X yake.
USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amaniUkipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.
Ujumbe huu kupitia X yake.
USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Mdude ni nani huko chadema anaelalamika!Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana kama hashtags za ma-ccm.
Ujumbe huu kupitia X yake.
USHAURI WANGU
Mdude ajue, ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Kama Chalamila ni mkuu wa mkoa basi hata kichaa anayemiliki jalala anaweza kuwa kiongozi nchi hii.Mfano CDM ikashinda uchaguzi mkuu Mdude anapewa labda cheo gani?
CDM inazoa kila mpiga kelele matokeo yake ndio hayo kuchapwa virungu kila mahali..
Sasa anataka kuzuia wengine kutoa maoni?
Si anakumbushwa ahadi za mwanamageuzi...
Bangi zako zinakufanya umuone Lissu mbaya, hujakuja na ushahidi au mfano wowote wa chochote kusimamisha hoja yako zaidi ya maneno ya kibangibangi.Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani
Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele
Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele
Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi
Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu
Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP
NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu
Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
huenda mods walipuuzia takwa lake la kupigwa bani lissu akishindaWw si ulipgwa ban ya maisha, umefufuka ama ni mzimu wa malaria?
mdude atagombea ubunge jimbo gani?Mfano CDM ikashinda uchaguzi mkuu Mdude anapewa labda cheo gani?
CDM inazoa kila mpiga kelele matokeo yake ndio hayo kuchapwa virungu kila mahali..
Sasa anataka kuzuia wengine kutoa maoni?
Si anakumbushwa ahadi za mwanamageuzi...
Mawazo yako kama yangu, hajui nafasi aliyonayo anahitajika kuunganisha watu, sijamuona akifanya hivyo. Maneno yake ya uanaharakati bado anayo.Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani
Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele
Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele
Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi
Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu
Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP
NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu
Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".