Mdude analalamikia makundi CHADEMA

Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibao…..

Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??
 
Attachments

  • IMG_1363.jpeg
    99 KB · Views: 3
Kuna mtu mmoja wa upande wao amesema wazi kuwa hana mpango na kitu kama kutibu majeraha. Msimamo wake ni wale walioshindwa, waufyate.

Nimemsoma mwingine ambae amehoji kwa nini Mbowe anaitwa Mwenyekiti. Anataka aitwe Mwenyekiti Mstaafu. Ukweli ni kuwa kuna vyeo vya kudumu kama Rais, Jaji, Jenerali, Profesa na naam Mwenyekiti. Sio lazima kila wakati kuongeza sifa ya "mstaafu". Hata Lissu anamuita Mbowe "Mwenyekiti ". Na hasira zilikuwa kwa sababu kuna kundi la wakina mama lilienda kumsalimia.

Amandla...
 
Kama ulivyosema

hawa watu naona hawapo kwenye reality,bado wapo kwenye fantasy fulani hivi

Leo Lissu kaingia ofisini rasmi,nasikia kasema yuko tayari kwa mazungumzo,kwahiyo ile tough talk eti ya hakuna mazungumzo ilikua danganya na some fools believed him

Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibao…..

Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??
Hahahaaaa

Nachoshangaa ni watu kuamini Lissu ni mungu muweza wa yote,ata strong arm ccm kuja meza kwa lazima

Nimeamini wanasiasa wote ni waongo wataongea chochote tunachotaka kusikia ili apate kura

Leo kaingia ofisini,nasikia ile tough talk yote imeisha nasikia amesema yupo tayari kwa MARIDHIANO ambayo alisema mwanzoni kua ni batili

and some fools believed him kabisa..majaabu haya

Na ndio mwanzo. Watajaribu ku spin kuwa yana tofauti na yale ya Mbowe.
Na bado zile pesa walizo ahidi kupeleka kwenye matawi. Na uwazi katika taarifa za pesa.

Tuliwaambia FAFO.

Amandla...
 
Kama waliweza akina Lema kumtukana na kumdhalilisha mbowe hadharani wanataka kujaribu kwa mama samia. Lkn mama Samia yeye hagusiki. Ukijarjbu kumchafua utaangukia kama Dr Silaa
 
Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibao…..

Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??
Na akithubutu kushauri watamuangushia jumba bovu kama mambo hayataenda vizuri. Watasema yote ni kwa sababu alijaribu kuwaingilia hata kama hawakufuata ushauri wake.
Akae pembeni, aendelee na biashara zake, awaponye vidonda watu wake walioumia n.k.

Amandla...
 
Lissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.
 
Lissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.
Kamwambia mwizi, tapeli , mtekaji na hana influence ya watz. Tuone yeye kama atapata tume huru ya uchaguzi.
 
Lissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.
Lissu kawadanganya

sijui maandamano blah blah

sijui mshike mshike blah blah

sijui hatutaki maridhiano blah blah

haya majamaa mataahira kweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…