Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU

IMG_20220602_092955.jpg
 
Inaonekana Mdude humiliki gari hali inayopolekea hata kushindwa bei ya mafuta ilikua shilingi ngapi. Mbona bei imeshuka kwa zaidi ya shiling mia tatu?
 
Anaelewa maana ya kupeleka moto au anasema tu..😂
 
Anaelewa maana ya kupeleka moto au anasema tu..😂
Atakuwa anajua sana ndio maana kalitumia neno vyema ila shida huo moto unaenda kwa njia ya mpitisho, mnururisho au ile nyingine.
 
Huyu dogo Chadema waachane naye maana atawasumbua bure

Magufuli alikuwa sahihi kwa alichomfanyia.

Mbowe anajitahidi kuweka mambo sawa ila kama vijana wake wanaendeleza uana harakati usio na faida

Punguzo nchi nzima ni la 300
 
Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU

View attachment 2247830
Kwani mwenye CHADEMA mwenyewe Mbowe anasemaje? 👋🏿😂 maana kila wiki anaenda Ikulu kula biriyan.
 
Inaonekana Mdude humiliki gari hali inayopolekea hata kushindwa bei ya mafuta ilikua shilingi ngapi. Mbona bei imeshuka kwa zaidi ya shiling mia tatu?
Gharama ya usafiri wa kukodi trucks za mizigo Kutoka Dar to Mza had msm zimeongezeka Kwa zaidi ya 1 million, iyo mia 3 inapunguza nn.

Mnawaza uchaguzi eeee?? 2025 mbaal mno. Haipo RANGI hamtaona.
 
Mdude aliahidi kumyoa huyo kiumbe kabla ya kumpelekea moto, tunaomba mrejesho.
 
Back
Top Bottom