Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

Huyu dogo Chadema waachane naye maana atawasumbua bure

Magufuli alikuwa sahihi kwa alichomfanyia.

Mbowe anajitahidi kuweka mambo sawa ila kama vijana wake wanaendeleza uana harakati usio na faida

Punguzo nchi nzima ni la 300
Atakipata anachokitafuta!
 
Kwani mwenye CHADEMA mwenyewe Mbowe anasemaje? [emoji1537][emoji23] maana kila wiki anaenda Ikulu kula biriyan.
Acheni ujinga wenu huyo Mbowe ana shida gani ya kutoweza kumudu gharama ya biriani mpaka aifuate ikulu acheni mh Rais ni muungwana anataka nchi hii watu waishi kwa utengamano nyie mnamuona kila mtu anayeenda kuonana na Rais ana njaa
 
Back
Top Bottom