Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Jun 2, 2022 #21 Root said: Huyu dogo Chadema waachane naye maana atawasumbua bure Magufuli alikuwa sahihi kwa alichomfanyia. Mbowe anajitahidi kuweka mambo sawa ila kama vijana wake wanaendeleza uana harakati usio na faida Punguzo nchi nzima ni la 300 Click to expand... Atakipata anachokitafuta!
Root said: Huyu dogo Chadema waachane naye maana atawasumbua bure Magufuli alikuwa sahihi kwa alichomfanyia. Mbowe anajitahidi kuweka mambo sawa ila kama vijana wake wanaendeleza uana harakati usio na faida Punguzo nchi nzima ni la 300 Click to expand... Atakipata anachokitafuta!
Michael mbano JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 820 Reaction score 570 Jun 2, 2022 #22 muafi said: Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU View attachment 2247830 Click to expand... moto huo utakuwa wa kuzimika au wakuwaka jumla?Kuni zipo za kutosha?
muafi said: Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU View attachment 2247830 Click to expand... moto huo utakuwa wa kuzimika au wakuwaka jumla?Kuni zipo za kutosha?
S samsolo the great JF-Expert Member Joined Jul 9, 2021 Posts 750 Reaction score 1,086 Jun 2, 2022 #23 Ritz said: Kwani mwenye CHADEMA mwenyewe Mbowe anasemaje? [emoji1537][emoji23] maana kila wiki anaenda Ikulu kula biriyan. Click to expand... Acheni ujinga wenu huyo Mbowe ana shida gani ya kutoweza kumudu gharama ya biriani mpaka aifuate ikulu acheni mh Rais ni muungwana anataka nchi hii watu waishi kwa utengamano nyie mnamuona kila mtu anayeenda kuonana na Rais ana njaa
Ritz said: Kwani mwenye CHADEMA mwenyewe Mbowe anasemaje? [emoji1537][emoji23] maana kila wiki anaenda Ikulu kula biriyan. Click to expand... Acheni ujinga wenu huyo Mbowe ana shida gani ya kutoweza kumudu gharama ya biriani mpaka aifuate ikulu acheni mh Rais ni muungwana anataka nchi hii watu waishi kwa utengamano nyie mnamuona kila mtu anayeenda kuonana na Rais ana njaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 2, 2022 #24 Ngoja tuone...
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jun 2, 2022 #25 Root said: Magufuli alikuwa sahihi Click to expand... Nenda ukazikwe naye Chato