Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.