Ridhiwani ni WakiliNamuona RIZ ONE akisikitikia maamuzi yake😄😄😄
Ushahidi upi unataka kuuona?Mdude anaongeaga vitu bila ushahidi japo ni mpambanaji asieogopa (namkubali sana) hata Chama chake huwa hakimpi sapoti juzi Kati alikamatwa mbeya lakini hakuna kiongozi yoyote wa chadema alilaani japo alipambana kivyake akatoka
RIZ kumbe ni wakili😯,ila atakuwa ni wakili zubefu,maana sijaona makeke yake aliyorithi Kwa baba yake.Ridhiwani ni Wakili
Nape amesomea mambo ya propaganda kule kwa wahindi
Mto wa haramu ni wa haramu tu,kwa vile ameamua kuchezea koki basi atalowa sanaNape anashangilia kugawa bandari yetu kwa mwarabu milele.
Traitor!