Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Dah
👇
Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo. https://t.co/hdlKigyB2e

20220921_181612.jpg
 
Nilishasema kwa Sasa Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuiunga mkono au kuishabikia chadema , maana imejaa vijana na wanachama waliojaa matusi utazani huwa wanavutishwa bangi muda wote, Chama kimejaa vijana ambao utazani waliokosa malezi ya wazazi wao, chama kimejaa vijana ambao utazani wakipata ajari za kichwa wakatikisa bongo zao, huyu Ni sample ya aina ya vijana wachadema na hao ndio wanaitwa makamanda, hiyo ndio sababu chama hiki kwa Sasa kimepuuzwa na watanzania
 
Afadhali kuwa na Makamanda wasiokuwa na Akili Timamu kuliko kuwa na Watu wenye akili Timamu huko CCM wenye kufanya mambo na maamuzi ya ovyo kupindukia...Tozo
 
Huwezi ukawa na makamanda wasionaakili halafu ukategemea ushinde Vita wewe, maana hao hawana hata uchungu na hawajuwi kwanini wapo vitani hivyo wanaweza telekeza silaha muda wowote ule bila kujuwa kuwa nchi ipo mabegani mwao, hivyo Ni muhimu kubeba na kuchukua makamanda wenye utimamu wa akili na mwili
 
Back
Top Bottom