Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishasema kwa Sasa Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuiunga mkono au kuishabikia chadema , maana imejaa vijana na wanachama waliojaa matusi utazani huwa wanavutishwa bangi muda wote, Chama kimejaa vijana ambao utazani waliokosa malezi ya wazazi wao, chama kimejaa vijana ambao utazani wakipata ajari za kichwa wakatikisa bongo zao, huyu Ni sample ya aina ya vijana wachadema na hao ndio wanaitwa makamanda, hiyo ndio sababu chama hiki kwa Sasa kimepuuzwa na watanzania
Huwezi ukawa na makamanda wasionaakili halafu ukategemea ushinde Vita wewe, maana hao hawana hata uchungu na hawajuwi kwanini wapo vitani hivyo wanaweza telekeza silaha muda wowote ule bila kujuwa kuwa nchi ipo mabegani mwao, hivyo Ni muhimu kubeba na kuchukua makamanda wenye utimamu wa akili na mwili
Mh...
muulize huyo balozi ulaya ukiwa huna kazi unalipwa je tanzania wanawalipa wasiokuwa na kazi?
Serious?Watu kama akina Mdude ndio watakaokomboa taifa hili linalotawaliwa kwa shuruti na chama chakavu cha CCM. Hapa tulipofikia maridhiano fake kama ya kina Mbowe na majizi ya kura ya CCM ni kupotezeana muda. Spirit ya machafuko kama ya kina Mdude ndio suluhu. Tuendelee kuomba vijana wengi wajitambue kama Mdude alivyo ili taifa hili litoke mikononi mwa chama cha tozo.