Mungu ataamua ugomvi soon !!Wanaotuangusha Ni Wasomi Wao Wanakalia Fizibiliti Stadi
By Jiwe
Kabisa,Mungu ataamua ugomvi soon !!
HatariWanaotuangusha Ni Wasomi Wao Wanakalia Fizibiliti Stadi
By Jiwe
Kwa kweli !!Nchi imejaa, wanafiki, wazandiki, waoga, machawa, wenye kujipendekeza, n.k
Angalau tope zitalainika !Kwamba Katiba itaondoa tope vichwani mwa mbumbumbu ?
Anao ushahidi upi kuwa katiba mpya haitakuja na matatizo mengine yatakayosababisha yeye alalamike kama anavyolalamika sasa hivi?.
Afadhali kuwa na Makamanda wasiokuwa na Akili Timamu kuliko kuwa na Watu wenye akili Timamu huko CCM wenye kufanya mambo na maamuzi ya ovyo kupindukia...TozoNilishasema kwa Sasa Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuiunga mkono au kuishabikia chadema , maana imejaa vijana na wanachama waliojaa matusi utazani huwa wanavutishwa bangi muda wote, Chama kimejaa vijana ambao utazani waliokosa malezi ya wazazi wao, chama kimejaa vijana ambao utazani wakipata ajari za kichwa wakatikisa bongo zao, huyu Ni sample ya aina ya vijana wachadema na hao ndio wanaitwa makamanda, hiyo ndio sababu chama hiki kwa Sasa kimepuuzwa na watanzania
Anao ushahidi upi kuwa katiba mpya haitakuja na matatizo mengine yatakayosababisha yeye alalamike kama anavyolalamika sasa hivi?.
Huwezi ukawa na makamanda wasionaakili halafu ukategemea ushinde Vita wewe, maana hao hawana hata uchungu na hawajuwi kwanini wapo vitani hivyo wanaweza telekeza silaha muda wowote ule bila kujuwa kuwa nchi ipo mabegani mwao, hivyo Ni muhimu kubeba na kuchukua makamanda wenye utimamu wa akili na mwiliAfadhali kuwa na Makamanda wasiokuwa na Akili Timamu kuliko kuwa na Watu wenye akili Timamu huko CCM wenye kufanya mambo na maamuzi ya ovyo kupindukia...Tozo