Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

Afadhali kuwa na Makamanda wasiokuwa na Akili Timamu kuliko kuwa na Watu wenye akili Timamu huko CCM wenye kufanya mambo na maamuzi ya ovyo kupindukia...Tozo
Tumia busara dogo.
 

Nipe mrejesho wa wale vijana wa CCM ambao huwa wanawateka wapinzani kwa Backup ya vyombo vya dola. Unazungumziaje watoto wa viongozi wa CCM waliojazana kwenye ofisi za umma, huku wakiwa na uwezo duni kiutendaji?
 

Watu kama akina Mdude ndio watakaokomboa taifa hili linalotawaliwa kwa shuruti na chama chakavu cha CCM. Hapa tulipofikia maridhiano fake kama ya kina Mbowe na majizi ya kura ya CCM ni kupotezeana muda. Spirit ya machafuko kama ya kina Mdude ndio suluhu. Tuendelee kuomba vijana wengi wajitambue kama Mdude alivyo ili taifa hili litoke mikononi mwa chama cha tozo.
 
muulize huyo balozi ulaya ukiwa huna kazi unalipwa je tanzania wanawalipa wasiokuwa na kazi?
 
Serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…