Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni mbaya!! Mpaka Mdude kaanza kwenda kwa manabii wetu??Sijui,
hili kanisa linafungwa ni la magaidi
Utajua hujui,Ufufuo na Uzima ni branch ya Askofu Dr Gwajima?
Na itakeni sana karama ya unabii .Kanisa la Ufufuo si la Gwajima?
Ccm wanatamani akili za machadema zifanane na za mdude. Kwa kuwa wanachambua, hawana tahajid wala albadili.
SijakuewaNa itakeni sana karama ya unabii .
Enzi zile Eti hata kumuombea Lissu alipopigwa risasi ilikuwa haramu!!Wale mawakala wa shetwaini watazui maombi kwa waliotekwa kama walivyozuia maombi kwa Lissu. Safari hii zuieni tena malaika wa kuzimu apite na mwingine kama alivyopita na wale.