Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
1720279220269.png

---​
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:

Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na maandishi. Na katika barua hiyo tutawataka wapitie ushahidi kujiridhisha halafu wachukue hatua kuifungia Tanzania na Simba kwenye masuala yote ya mpira. Tukifingiwa mpira akili zitawarudi


Video ya Ahmed Ally
 
Huyu ni muajiriwa tu wa simba ana haki ya kushiriki siasa na katiba inamruhusu tuache mihemukokama rage alivyogombea ubunge akapata kwa kupitia ccm, kosa ni kutumia nafasi yako ya kiuongozi serikalini kuinfluence in a negative way michezo, ila kwa mwanamichezo kushiriki siasa siyo kosa duniani kote
Ngoja mwakani CCM wasajili makocha na wachezaji wote.
 
Back
Top Bottom