Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jipya dogo. Hakuna mission aliyowahi kuifanya ikafanikiwa. Wa kumsamehe tu.Mdude ashakuwa mwenda wazimu awahi mirembe!
Kwahiyo wakristo tusihubiri kwa sababu ya katiba? We jamaa wewe. Katiba tumekuachia wewe na mdude mpiganie, sisi tunahubiri habari njema iletayo wokovu kwa kila mtu ukiwemo wewe.Tumesema sana humu kuhusu mpira Tz. Wanatumia mpira kuwachota akili mzidi kuwa fukara na kutokujitambua kutetea maslahi yenu..
Washika mpini wanajua kucheza na akili za Wananchi wa nchi ya kusadikika
1. Mpira sijui match
2. Mikutano na makongamo ya dini (Wakristu)
3. Bongo movie & flava
4. Maandamano na mikutano ya kubatiza jina ‘ya Amani’
5. Umbea Udaku (social media)
6. Kubet
Leo mnahimizwa kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura swala la Katiba Mpya limezikwa. Watu watambue wanasiasa wanawaza kuwa wabunge mawaziri wakurugenzi sio maslahi ya Wananchi na nchi.
We punguani? Au punga?Hana jipya dogo. Hakuna mission aliyowahi kuifanya ikafanikiwa. Wa kumsamehe tu.
Punguani na pUnga ni Mbowe hawara yenu chadema.We punguani? Au punga?
Mdude Yuko sawa kabisa , unachanganyaje mpira na siasaMdude ashakuwa mwenda wazimu awahi mirembe!
Ccm ya Samia imechana mikeka ya WapinzaniMsemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitiniMsemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
Kwani yeye ni Muislamu?ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini