kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Jichunguze ugundue ujinga wako!Usiwe mjinga jielimishe mambo muhimi ya kitaifa na kimataifa
Ukiwa ccm sio lazma uwe mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichunguze ugundue ujinga wako!Usiwe mjinga jielimishe mambo muhimi ya kitaifa na kimataifa
Ukiwa ccm sio lazma uwe mjinga
Yule Mdude tofauti na bangi hakuna kngn anachokijua yn ukimwangalia tuu unajua huyu n mvuta bangiPunguani na pUnga ni Mbowe hawara yenu chadema.
Niambie, kuna kipi mdude kafanya ambacho kimematerialize na kusema kafanikiwa na acha kutukana.
Pole mkuu 😂Hapo namuunga mkono mdude , na kuanzia Leo sitaishabikia Simba tena na kufuatilia mpira wa bongo naacha , Wala sitasoma habari ya mpira yeyote inayohusu timu za bongo,
Nina miaka zaid ya tisa Sasa sijasikiliza redio na kufuatilia clouds sababu ya kuwa biased kisiasa,
Wazee tumuumge mkono mdude katika Ili jambo.
Wengine tunafuatilia usitufokee. Simba wamemsajili Debora leo na saa 6 Yanga wanashusha kifaa. Tusipangiane maisha bwana mdogo.Hapo namuunga mkono mdude , na kuanzia Leo sitaishabikia Simba tena na kufuatilia mpira wa bongo naacha , Wala sitasoma habari ya mpira yeyote inayohusu timu za bongo,
Nina miaka zaid ya tisa Sasa sijasikiliza redio na kufuatilia clouds sababu ya kuwa biased kisiasa,
Wazee tumuumge mkono mdude katika Ili jambo.
🤝Magufuli aliwahi kuwa na nia ya kuzifuta timu za Simba na Yanga maana zinawapumbaza watanzania.
Inatakiwa atokee rais mwingine aje kuzifuta hizi timu zisiwepo kabisa .
Havuti bangi wala nini? Amemmisi basha wake wa magereza alipopelekwa ndio maana anatafuta uchokozi apelekwe tena mahabusu.Yule Mdude tofauti na bangi hakuna kngn anachokijua yn ukimwangalia tuu unajua huyu n mvuta bangi
Kwani amekosea nini?Msemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
Mm namuonaga n mpiga kelele tuuHavuti bangi wala nini? Amemmisi basha wake wa magereza alipopelekwa ndio maana anatafuta uchokozi apelekwe tena mahabusu.
Hajawahi kufanikiwa kwa lolote alilolianzisha huyo mwanaharakati uchwara.
Safi saaana. Kuwa msemaji wa timu yetu simba hakumzuiii kuwa mwanachama wa chama akipendacho, au kuwa mwana dini aipendayo. Nampongeza saaana kijana huyuuu. Na hakusema eti wanasimba wote mjiunge CCM, Bali yeye kama mwanaCCM anawashauri vijana wajiunge na CCM.Msemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
Ulitaka simba ,wote wazini ndio tueme zsimba wamezini.Hii nchi Ina watu wanaulewa mdogo sana,, kwahiyo Ahmed ally akizini ndio simba imezini ,jaribu kutofautisha mambo yule anaweza kuwa mwanachama wa ccm ,amezungumza kama mwanachama wa ccm sio msemaji wa simba
Jaribu kutofautisha masuala binafsi ya Mtu na ya taasisi, halafu pitia sheria za FIFA ,nchi au clabu inafungiwa ikijihusisha na masuala yapi .Ulitaka simba ,wote wazini ndio tueme zsimba wamezini.
Hiyo ni kauli ambayo simba walitakiwa waikemee.
Aanze na hawa kwanzaMdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:
Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na maandishi. Na katika barua hiyo tutawataka wapitie ushahidi kujiridhisha halafu wachukue hatua kuifungia Tanzania na Simba kwenye masuala yote ya mpira. Tukifingiwa mpira akili zitawarudi
View attachment 3035112
Video ya Ahmed Ally
Hili la kufungiwa naunga mkono hoja tupigwe ban ya miaka hata mitano Yanga na Simba wacheze kombe la CCM
Nani aliyesema kakosea? 🐼Kwani amekosea nini?