Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Jaribu kutofautisha masuala binafsi ya Mtu na ya taasisi, halafu pitia sheria za FIFA ,nchi au clabu inafungiwa ikijihusisha na masuala yapi .
Basic compulsory equipment*(page no.24 of FIFA laws of the game).

The basic compulsory equipment must not have any political, religious or personal slogans, statements or images.

The team of a player whose basic compulsory equipment has political, religious or personal slogans or, statements or images will be sanctioned by the competition organiser or by FIFA.(page no.24).
 
Kwa uelewa wako hicho kifungu ndio kitasababisha simba ifungiwe, rudi tena shuleni
 
Ukweli
Msemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM

Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao

Source: Wasafi media
Ukweli mtupu
 
Baada ya msemaji wa simba kusema maneno ya kujiunga mkono CCM hasa uvccm wanachadema wameamua sasa wataandika BARUA FIFA kuhusu club hiyo.

Matako ya viongozi wa CHADEMA huko x yanatililika kutaka FIFA iifungie simba Kwa sababu ya kujihusisha na siasa

USSR
 
Attachments

  • Screenshot_20240706-212838.jpg
    Screenshot_20240706-212838.jpg
    302.1 KB · Views: 1
CHADEMA wana matatizo ya akili kwa sasa. Tuwasamehe tu kwasababu wanapitia wakati mgumu mno. Jana walikuwa wanagombana baada ya baadhi yao kutafuna hela za michango ya kumtibu Sativa.
 
Mimi ni Simba ila huu ujinga ni wa kipumbavu kama FIFA wanaweza fun gia watufungie, hakuna Club Dunian inafanya ujinga kama huu. Wajinga mnaingizwa chaka sana, wajanja wanapiga nchi wanawaletea ujinga ujinga. Punguzeni ujinga.
 
Mdude yupo sawa!

Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm

Simba pole yao wanaenda kua mfano!
 
Kwani uchaguzi si WA nchi? Mama ni Raisi WA wote sio wa chama chochote
 
Na simba wakimkana ahmed ally kuwa aliongea kwa matashi na maslahi binafsi na si maoni au mapendekezo ya timu kwa mashabiki wake CHADEMA watapungua credit kwa maana wataonekana wamepanic kwanza kabla ya kutumia akili kufikiri the aftermath ya claims zao dhidi ya Taifa na Simba SC.

Halafu unaanzaje kuishitaki simba FIFA wakati kuna TFF na CAF ambao wanaweza kufanya majukumu ya FIFA kwa niaba........!!!

ila hasira hasara, mdude ameandika watapeleka mashitaka dhidi ya Taifa na Simba, nani kakosea ni TFF, Simba au Ahmed Ally,,,,,,????
 
Mdude yupo sawa!

Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm

Simba pole yao wanaenda kua mfano!
Nawe unaamini kuwa CHADEMA watafanikiwa???

haya tueleze wataanzia wapi???
 
Huu ujinga msemaji kakosea sana. Viongozi wa simba wanatakiwa kumkemea msemaji wao. Kuingiza siasa na mpira sio ishuu.
 
Na simba wakimkana ahmed ally kuwa aliongea kwa matashi na maslahi binafsi na si maoni au mapendekezo ya timu kwa mashabiki wake CHADEMA watapungua credit kwa maana wataonekana wamepanic kwanza kabla ya kutumia akili kufikiri the aftermath ya claims zao dhidi ya Taifa na Simba SC.

Halafu unaanzaje kuishitaki simba FIFA wakati kuna TFF na CAF ambao wanaweza kufanya majukumu ya FIFA kwa niaba........!!!

ila hasira hasara, mdude ameandika watapeleka mashitaka dhidi ya Taifa na Simba, nani kakosea ni TFF, Simba au Ahmed Ally,,,,,,????

..Simba wanatakiwa wakanushe tamko la msemaji wao.

..Pia wanapaswa kumchukulia hatua za kinidhamu.

..TFF wanapaswa kumuonya msemaji wa Simba.

..Jambo hili lilitakiwa lishughulikiwe haraka ili kutokutoa nafasi kwa malumbano kati ya Simba na vyama vya siasa.
 
Mdude yupo sawa!

Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm

Simba pole yao wanaenda kua mfano!
Ahmed hakwenda Kama mwakilishi wa Simba,Bali kaenda Kama yeye, acheni ujinga
 
Back
Top Bottom