Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Well said Mkuu, huyo jamaa (Mdude) nae apunguze MAJAZBER, aache kukurupuka.Sasa ni Simba ama Ahmed ndio kajihusisha na siasa?!
Yeye ni muajiriwa tu, ana maisha binafsi.
Ingelikuwa Simba kwenye mechi wameingia na mabango kuhamasisha siasa hapo kuna mashiko.
Ni maoni yake na nadhani yupo sahihi. Anajielewa sana
Huyu ni muajiriwa tu wa simba ana haki ya kushiriki siasa na katiba inamruhusu tuache mihemukokama rage alivyogombea ubunge akapata kwa kupitia ccm, kosa ni kutumia nafasi yako ya kiuongozi serikalini kuinfluence in a negative way michezo, ila kwa mwanamichezo kushiriki siasa siyo kosa duniani kote
Ni upumbavu haswaAhmed Ally hapo kazingua sana.
Ngoja mwakani CCM wasajili makocha na wachezaji wote.Huyu ni muajiriwa tu wa simba ana haki ya kushiriki siasa na katiba inamruhusu tuache mihemukokama rage alivyogombea ubunge akapata kwa kupitia ccm, kosa ni kutumia nafasi yako ya kiuongozi serikalini kuinfluence in a negative way michezo, ila kwa mwanamichezo kushiriki siasa siyo kosa duniani kote
Umesikia TFF wametoa hata onyoSasa ni Simba ama Ahmed ndio kajihusisha na siasa?!
Yeye ni muajiriwa tu, ana maisha binafsi.
Ingelikuwa Simba kwenye mechi wameingia na mabango kuhamasisha siasa hapo kuna mashiko.
Mdude atafutiwe bwana haraka
Hii naiunga mkono, asilimia 100 hatuwezi changanya siasa na Mpira, pia na Azam
Hili la kufungiwa naunga mkono hoja tupigwe ban ya miaka hata mitano Yanga na Simba wacheze kombe la CCMHii naiunga mkono, asilimia 100 hatuwezi changanya siasa na Mpira, pia na Azam
Mimi simba ila naunga mkono, Rafiki wa adui wangu ni adui wangu piaKwa hili naunga mkono hoja