Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20220924-153836.jpg
 
Hiyo shule hipo mkoa gani na inaitwaje ili Serikali iingie kazini.
 
Wale jamaa walioshindwa kukuua walishushwa vyeo.

Badala ya kukupiga risasi wakawa wanakupiga na chupa za bia ukazuga umekufa kkkkk!
 
Hiyo shule hipo mkoa gani na inaitwaje ili Serikali iingie kazini.
Awali lako Zurich! Kwani hizo Halmashauri ni za CDM au ni za hawajawahi CCM! Na wameweja aidha Kwa kuteuliwa au kuchaguliwa. Waulize CCM ndio walipokea za COVID zilienda wapi.
Mleta mada ametonya tuu kwani yako wazi.
Nenda Tanga yote utembee utayakuta ya namba hii sisemi ndio kwenye Picha la hasha.
 
Chai ni jukumu la mzazi
Shule bora ni jukumu la mzazi
 
Inaumiza sana kuona watoto wa masikini wakisoma wamekaa kwenye vipande vya tofali huku tozo tunazokamuliwa zinaishia kujengwa vubanda vya walinzi kwa bei kubwa huku wakiacha kujenga shule.nyinyi viongozi muwe na huruma basi.Magari yenu ya kifahari yametokana na kodi mnazotukamua watanzania
 
Chai ni jukumu la mzazi
Shule bora ni jukumu la mzazi
Huyo mzazi unayemsema,tambua CHAI aliyoisema Mwigulu,tozo ya mzazi huyohuyo inagharamia,safari za viongozi,mzazi anagharamia,pesa za ziara ya waheshimiwa,mzazi anagharamia kupitia tozo na kodi mbalimbali,leo tena unamwambia shule nzuri,liwe jukumu lake,sasa hizo pesa anazokatwa Kama too,na kuwapatia maafisa mbalimbali wa serikali,anatoa sadaka au?
 
Back
Top Bottom