Mdude ni mwanasiasa mzuri wa upinzani aliyepuuzwa na chama chake

Mtu aliyehimili na kuvumilia kutekwa na kuteswa na watu wenye hasira na silaha, na yeye akabaki composed and collected, bila kuwatukana, ku crack, kulia, kuuza siri,
Mdude anaweza kuwa na siri gani ya kuuza huko chadema?! Ni kikao gani cha maana cha chama anachohudhuria?

Maybe you know something we don't know.
 
Kabla ya ku-comment soma kwanza uzi uelewe. CCM haina ubaguzi kwa mtanzania yeyote. Si unaona cream yote ya CHADEMA imekula vyeo kwenye serikali ya CCM huku CHADEMA ikibakiwa na wapuuzi kama wewe na kina Lema?
huku wapuuz waliopigania chama miaka nenda rudi kama kina etwege aka kulwa jilala,chinembe,voicer, mwashambwa na wapumbavu wengine wa aina hio wakiachwa kwa upumbavu wao.
 
Kwa hii kauli yako mojakwamoja inabidi ufukuzwe CHADEMA kwa kosa la kuwatukana viongozi wa chama kwasababu hao ndo wanajipendekeza.
kwa hii kauli yako unapaswa hata buku saba wasikupe kwa ujinga wako na chama chako kinachohudhuria mikutano ya upinzani na kujiunga kwa siri huku wapumbavu mkifichwa.
 
huku wapuuz waliopigania chama miaka nenda rudi kama kina etwege aka kulwa jilala,chinembe,voicer, mwashambwa na wapumbavu wengine wa aina hio wakiachwa kwa upumbavu wao.
Acha kuwahurumia kina Etwege angalia chama chako kilivyobakiwa na wajinga wasio na hoja.
 
Usikilizwe una hoja yenye mashiko
 
Kula cheo kwenye serekali ya Tanzania nayo ni sifa? Je ingekuwa kwenye serekali ya US si ungeona yuko kwenye serikali ya mbinguni? Hakuna sifa yoyote kuwa kwenye serikali hizi za shithole countries.
Sana sana ni kwenda kuiba fedha za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…