Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu

Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu

Kesi yake iliqekewa pingamizi, tena lina nguvu, natabiri pingamizi litakubaliwa, halafu ataendelea kusota segere matata mpaka wakili wake atakapoleta keai iliyoandikwa vizuri
 
Ashukuru Mungu bado yupo hai.hawezi kuwa anamtukana Rais wetu kipenzi halafu aachwe tu
Yapo majitu ni ya kuyachapa tu bakora, hayakulelewa vizuri.. Ni fimbo tu, hakuna hata sababu za kuyateka au kuwahifadhi ni bakora tu.
 
Mbowe awepo au yeye anakuwepo kwa Wachagga wenzake

USSR
 
Huyu jamaa kwa namna anavyoropokaga,kama ndiyo uhuru wa kujieleza tunaoutaka basi huo uhuru hapana maana ni matusi tupu na kudhalilisha watu,watu wengi huwa wanamshangilia na anajiona shujaa wakati kiuhalisia sidhani kama hata wanachadema wengi wanaunga mkono mbinu yake ya ukosoaji
 
Back
Top Bottom