Huyu jamaa kwa namna anavyoropokaga,kama ndiyo uhuru wa kujieleza tunaoutaka basi huo uhuru hapana maana ni matusi tupu na kudhalilisha watu,watu wengi huwa wanamshangilia na anajiona shujaa wakati kiuhalisia sidhani kama hata wanachadema wengi wanaunga mkono mbinu yake ya ukosoaji