Inasikitisha sana, Mungu wa mbinguni aonae yaliyo sirini anajua Mdude alipo na yupo katika hali gani, Mwenyenzi Mungu tunaomba umlinde mdude bado tunaamini yupo hai, na kama ameuawa, kila alieshiriki kumwaga damu ya mdude, hakika itarudi kulipa kisasi
Tuzidi kuiombea familia yake