Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hali ya Watanzania haiwezi kuwa hali yakeSawa ni vizuri apambane na hali yake.
Aongezewe nyingine akili ikae sawa
Na Chimwaga ndo Paradiso yenu sio???Aongezewe nyingine akili ikae sawa
Hawa bawacha wanamatatizo anataka wamwachie huku anakesi ya madawa isiyo na dhamanaAmekuwaje Mfungwa ilihali Hata Bado hajahukumiwa, Kamanda mbona ni waongo Sana nyinyi ili mpate huruma za Wananchi!!
Weeeee! Jiwe anayapenda Sana majitu kama Pinda ambayo ni akina "Ndiyo Mzee" ili aijenge vizuri Chato.Mizengo Pinda kukalia kiti cha Mzee Mangula.
umekishiba UMEVIMBIWA ...Aongezewe nyingine akili ikae sawa
sasa wewe kisambusa NANI ANAKUTUMIABado unanunu pads za kila siku akili yako imeishia huko kwenye kurogwa