Imesaidia kumkomoa. Walio muweka huko wanashangilia.Imesaidia nn sasa.
Je pana yeyeto duniani amewahi wasilence watu akaweza.
Kelele za mlango uwanyima usingizi uncivilized uneducated unexposured tu.
Kweli kabisa silent man, na mtoto wake kapata ubunge ,tutegemee atakuwa kivuli cha mwenyekiti.Pinda ni mtu wa ndiyo mzee, u PM wa Pinda ulikua tofauti sana na wa Lowasa.
Halafu ukishakomoa what next?Imesaidia kumkomoa. Walio muweka huko wanashangilia.
Burudani tuHalafu ukishakomoa what next?
Chochote kibaya umtendeacho mwenzake urudi kwenye uzao wako.Jiulize why familia za baba zao waliwahi kuwa viongozi wakubwa na wakawaumiza watz wengi zipo vile?Burudani tu
Kwann wasimpime Kama ni mtumiaji wa madawa au fingerprint za ule mzigo aliokutwa nao,Ili kuondoa doa la hisia kwamba kaonewaAcha avune alichokipanda.
Asiefunzwa na wazazi ulimwengu utamfunza.
Akuna cha mzigo kaka ni kuonyeshwa nguvu za mamlaka unapokosa adabu na kutii sheria.Kwann wasimpime Kama ni mtumiaji wa madawa au fingerprint za ule mzigo aliokutwa nao,Ili kuondoa doa la hisia kwamba kaonewa
Pana mambo huweza leta laana kwa taifa thus miaka 60 tangu Uhuru Hakuna maendeleo.Akuna cha mzigo kaka ni kuonyeshwa nguvu za mamlaka unapokosa adabu na kutii sheria.
Naelewa, lkn haizuii mambo kama haya kutokea..yataendelea kutokea maana wanadamu ni wale wale. Haibadilishi kuwa mdude amefeli...Chochote kibaya umtendeacho mwenzake urudi kwenye uzao wako.Jiulize why familia za baba zao waliwahi kuwa viongozi wakubwa na wakawaumiza watz wengi zipo vile?
Why mapolisi wakistaafu utawaonea huruma.
Dunia haikujengwa zigzag pana mifumo iliwekwa .. do! And don't do!
Huwezi elewa Kama ujui kuhusu universe
Nilishawahi kumshauri hivyo huyu jamaa akaishia kuniblock twitterAjifunze kutoka kwa watu wa JF wanatukana huku wameficha ID zao.
Pia ukiwa unatukana sana watu unaweza jipa laana ukaishia pabaya.Pana mambo huweza leta laana kwa taifa thus miaka 60 tangu Uhuru Hakuna maendeleo.
Mtu mwenye akili timamu hawezi tukana hovyo watuPia ukiwa unatukana sana watu unaweza jipa laana ukaishia pabaya.
Tujifunze kutokana na makosa ya wengine.
Yaliyomo yamoNaelewa, lkn haizuii mambo kama haya kutokea..yataendelea kutokea maana wanadamu ni wale wale. Haibadilishi kuwa mdude amefeli...
TUMESHAPATA UHURU MKUU TUACHE YA KUJITAKIA...Wakina steve
Wakina steve Biko wangekuwa na mawazo Kama yako c ajabu apartheid ingekuwepo mpaka Leo.
Huyu aliyataka mwenyewe. Ukiwa mwanaharakati lazima akili yako ifikirie in 3D.Yaani lazima uwe na dought na kila kitu. Lazima ujue kuoverlook. Yaani lazima uone wote ni maadui wako.Hapo ndo utakuwa salama.View attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Faida za uongo ulizowahi kupata ni zipi ?Chama kimesha msahau wale waliokuwa wanampa kichwa mitandaoni nao sasa kimya hakuna wa kumsaidia wote wako busy akitoka angalie hatma ya maisha yake na sio taifa manake kwa upande hui hakuna anayemjali kabisa
Yap,ukiona mtu anatukana ovyo ujue anamatatizo ya akili.Mtu mwenye akili timamu hawezi tukana hovyo watu
Nakushukuru kwa kukiri kwamba Mdude si muuza unga bali amekomolewa kwa sababu za kisiasa , na hasa baada ya kushindwa kumuua baada ya kumtekaAkuna cha mzigo kaka ni kuonyeshwa nguvu za mamlaka unapokosa adabu na kutii sheria.