Mdude Nyagali atimiza siku 244 gerezani

Mwanadamu ukifika miaka 70 ndo utagundua vyoote ulivyotenda umeukimbiza tu upepo, utatamani urudi nyuma uwaombee msamaha uliowakosea na utopata mda huo
 
Trust me Diwani kwa haya lazima Mwenyezi Mungu ataingilia kati! na huponi asilani!
 
Huo ushahidi wa kwamba hajawahi kuuza hata ugolo yafaa kuutunza vema ili akiwa mahakamani ufikishwe.
 
Mleteni Amsterdam aje amtetee, avheni ujinga,
Hata yeye anatakiwa kutetewa na wakili wa kimataifa ambaye ni mzungu.
 
Hayo anayotendewa yapo kisheria?Wanasiasa wameruhusiwa kutesa na kuonea Wananchi? Mkuki kwa nguruwe...
Ipo Siku tutawakumbuka kina Mdude,anaponyanyaswa Mtanzania bila sababu na watawala ni jukumu la kila mmoja wetu kupaaza sauti kupiga.Tukichelea maana kulia...Ukimdhalilisha Mdude nawe Siku yako ikifika utaadhirika na hakuna atakayekutetea.
 
Mdude is cool, angekuwa anaogopa jela angeshakimbia nchi siku nyingi.

Infact anafanya mazoezi jela ili kujiweka vizuri kiafya ya mwili na akili.
Vipi wewe hupendi hayo mazoezi ya kujiweka sawa?
Fichua id yako kama mdude kisha uporomoshe ushuzi ili na wewe ukafanye hayo mazoezi huko selo, mazoezi ambayo kina TUNDU LISU wameyakimbia, ila kwa mdude anayapenda.
 
Anza kupaza na kupiga kerere wewe na utoke huko nyuma ya keyboard.
 
Wakina steve

Wakina steve Biko wangekuwa na mawazo Kama yako c ajabu apartheid ingekuwepo mpaka Leo.
Ndiyo maana mliitwa wapumbavu na marehemu Mkapa! Nyinyi mnaota ndoto za Biko, Solomon Mahlangu, Ahmed Kadhrada, Tutu, Mondlane etc. Kwa nchi iliyokwisha jitawala! Hiyo ni bhange inawasumbua.
Yaani mnajifanya eti Lissu ni Savimbi! Wapi na wapi?
 
Safi sana kamanda, endelea kutumikia matokeo ya ujinga ulioutafuta kwa kupenda sifa zisizokuwa na tija
 
Anza kupaza na kupiga kerere wewe na utoke huko nyuma ya keyboard.
Umeshasikia sauti niliyopaza na ndiyo maana napata mwangwi wa Nazqur.Na huo ndiyo mwanzo wa ngoma,wataka nitoke nyuma ya keyboard wakati nawe wajificha huko huko?
Huyo anayewanyanyasa Watanzania wenzetu atadumu milele?
 
Matokeo ya kutaka sifa za kutukana kila mtu hovyo mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…