Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikundi cha wanywa komoni na ulanzi!Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.View attachment 2563170View attachment 2563171
Mdude huna chama kwa sasaKikundi cha wanywa komoni na ulanzi!
Wewe marinda yamefumukaHuyu Dishi limeyumba!
Wewe mwenyewe unafuatilia Chadema ndiyo maana umeandika post hiiHii nchi kwakweli tunasafari ndefu,unaacha kazi zako unaenda kuwasikiliza chadema?
Alafu chadema wanavyoongeaga kwa kushupaza shingo na kutanua modomo utadhani wanamanisha wanachokisema!!!.
Hv palikuwa na sehem hata ya kutema mate kweli 😆Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.View attachment 2563170View attachment 2563171
Hapa mudude alihujumiwa😅😅😅CCM wanapenda hujuma sn