Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe huku akisisitiza ipo sababu ambayo ilifanya Lissu akapona kwenye shambulio la risasi mwaka 2017
Mdude amaibainisha kuwa sababu ya Lissu kupona ni ili atimjze kusudi ambalo Mungu kaweka ndani yake ikiwemo kusaidia upatikanaji wa Katiba mpya.